Monday, May 31, 2010

new arrival wadau kaeni mkao wa kusasambua

Wednesday, May 19, 2010

ukimya................................

mdau amekuwa kimya kidogo kwani anafanya maaandalizi ya kushusha mzigo toka hukooooo kwa wenzetu hivyo mambo mazuri zaidi yaja kaeni mkao wa kuperuzi na kuorder kwa uzuri zaidi

Saturday, May 1, 2010

akina dada nao sijawaacha.....

wazee wa ofisi nao sijawasahau.....................

unaweza fika pale dukani upate kiatu chako kwa bei poa kabisa

raba kama kawa

kwa wale vijana wa kisasa na wapenzi wa raba simple nk unaweza kuja kucheck