Monday, April 19, 2010

armani kwa suti nao wamo.....................

wakali toka italy nao balaa kwa suti

ROCA WEAR REVOLUTION..................................................

mapinduzi ya roca wear yanaanzia hapa, karibu upate new fashions hapa dukani kwetu

Saturday, April 17, 2010

wazee wa pensi jeeee...........................................


kazi kwao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

T SHIRTS.........................................

kuna aina nyingi za t shirt kali toka kwa designers wakubwa duniani njoo upate kwa bei nafuu kabisa, designers kama kelvin klein, armani, pellepelle, ecko unltd, daman dada nk

MORE JEANS................

karibu upate jeans za kike na za kiume za aina mbalimbali kutoka kwa hiphop jeans designers kama roca wear, sean john, levis, lacoste nk

Friday, April 16, 2010