Friday, April 16, 2010

DUKA JIPYA LA NGUO LAJA MAENEO YA TANDIKA- TEMEKE


pamba kali kama hizi zitakuwepo hebu jaribu kututembea mapema mwezi ujao maeneo ya kibiashara ya Tandika Mtaa Chihota karibu na baa ya majaribio, jaribu kufika hapo na upate bei iliyonafuu kabisa kwa bidhaa bora zaidi tanzania

1 comment: