Friday, April 16, 2010
WAPENDWA WATANZANIA WOTE.......................
Napenda kuwaarika katika blog yangu hii mpya ambayo inahusu zaidi mambo ya mavazi na kutambulisha rasmi duka jipya la mavazi liendalo kwa jina hilo hilo la blog yaani zacky international traders. Duka hili lipo eneo la tandika na linauza nguo aina zote za kike na kiume kwa jumla na rejareja, karibu ujipatie mahitaji yako ya mavazi toka kwa mabunifu wakubwa kabisa duniani kwa bei poa kabisa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment